JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA WAZIRI MKUU
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
OFISI YA MKUU WA MKOA WA DODOMA
MTIHANI WA UTAMILIFU(MOCK) YA AWALI YA MKOA
DARASA LA SABA, 2016
SOMO JIOGRAFIA
MUDA:
SAA 1:30 (4:30 – 6: 00 MCHANA) 19
NOVEMBA, 2015
MAELEZO
1. Soma
maelekezo yote yaliyotolewa kwa umakini.
2. Andika
jina lako, Wilaya, Shule na somo kwa
usahihi katika karatasi yako ya kujibia.
3. Jibu
maswali yote katika kila sehemu.
4. Andika
herufi ya jibu sahihi kwa kila swali katika karatasi yako ya kujibia uliyopewa.
5. Simu
za mkononi haziruhusiwi ndani ya
chumba cha mtihani
1.
Iwapo umbali wa kilometa
25 kwenye ardhi unawakilishwa na
urefu wa sentimeta 5 kwenye ramani,
kipimo cha ramani hiyo ni kipi?
a)
1:20,000
b)
1:50,000
c)
1:500,000
d)
1:100,000
e)
1:250,000
2.
Mistari ya gridi
rejea husomwa kwa tarakimu
a)
Tatu
b) Mbili
c)
Tano
d) Nane
e)
Sita
3.
Afrika mashariki huchukua
majira ya muda kwenye logitudo ya nyuzi ------
a)
180
b)
45
c)
90
d)
0
e)
60
4.
Uharibifu wa mazingira
duniani husababishwa na nini?______
a)
Ujenzi wa makazi
b)
Ongezeko la
wanyama pori
c)
Uvunaji wa mazao ya
chakula
d)
Ongezeko la watu na shughuli zao za maendeleo
e)
Uuzaji wa vyuma chakavu
5.
Kipi kati ya vifuatavyo
ni chanzo kikuu cha maji ?...
a)
Mito
b)
Maziwa
c)
Chemchemi
d)
Mvua
e)
Kisima
6.
Yafuatayo ni majanga ya
asili isipokuwa ……………..
a)
Ajali
b)
Mafuriko
c)
Ukame
d)
tetemeko la ardhi
e)
Kimbunga.
7.
Uluguru, pare, udzungwa,
Ruwenzori na usambara ni aina ya milima ya_____
a)
Volcano
b)
Mikunjo
c)
Tofali
d)
Meza
e)
Miinuko
8.
Mji wa Morogoro uliopo
nyuzi 60 mashariki ni saa 3:30 asubuhi.
Itakuwa saa ngapi katika mji wa Wagadugu uliopo nyuzi 15 magharibi_____
a)
Saa 8:30 mchana
b)
10:30 usiku
c)
10:00 jioni
d)
4:30 usiku
e)
11:30 jioni
9.
Maziwa ya Albert na Kyoga yamewakilishwa na herufi
gani?_________
a)
H na I
b)
B na I
c)
A na B
d)
H na B
e)
A na H
10.
Mlima uliowakilishwa na
herufi C unaitwa___
a)
Kilimanjaro
b)
Evarist
c)
Elgon
d)
Uluguru
e)
Ruwenzori
11.
Visiwa vilivyowakilishwa
na heruf DEF ni___
a)
Pemba-D, Unguja-E, Mafia-F,
b)
Unguja - D; Mafia-E, Saa
nane-F
c)
Mafia-D; Saa nane-C:Unguja-F
d)
Saa nane-D: Unguja-E:Pemba- F
e)
Unguja –D: Pemba E. Mafia-F
12.
Alama katika herufi G inawakilisha_______
a)
Mlima
b)
Bonde
c)
Mto
d)
Mwinuko
e)
Kontua
13.
Herufi H inawakilisha_
a)
Ziwa manyara
b)
Ziwa nyasa
c)
Ziwa Tanganyika
d)
Ziwa Victoria
e)
Ziwa magadi
No comments:
Post a Comment